Psalms 127:3 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Watoto ni riziki kutoka kwa Mwenyezi-Mungu; watoto ni tuzo lake kwetu sisi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Watoto ni urithi unaotoka kwa Mwenyezi Mungu, uzao ni zawadi kutoka kwake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tazama, wana ndio urithi wa Bwana, Uzao wa tumbo ni thawabu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Watoto ni riziki kutoka kwa Mwenyezi-Mungu; watoto ni tuzo lake kwetu sisi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wana ni urithi utokao kwa BWANA, watoto ni zawadi kutoka kwake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wana ni urithi utokao kwa bwana, watoto ni zawadi kutoka kwake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tazama, watoto ni urithi kutoka kwa BWANA, Uzao wa tumbo ni thawabu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Watoto ni riziki kutoka kwa Mwenyezi-Mungu; watoto ni tuzo lake kwetu sisi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Tazameni: Watoto ndio tunzo, Bwana ampatialo mtu, nao uzao wa tumbo ni kipaji chake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tazama, wana ndio urithi wa BWANA, Uzao wa tumbo ni thawabu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Watoto ni urizi kutoka kwa Yawe; uzao ni zawadi yake kwetu sisi.