Psalms 127:4 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Watoto waliozaliwa wazazi wakiwa bado vijana, ni kama mishale mikononi mwa askari.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kama mishale mikononi mwa shujaa ndivyo walivyo wana awazaao mtu katika ujana wake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kama mishale mkononi mwa shujaa, Ndivyo walivyo wana wa ujanani.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Watoto waliozaliwa wazazi wakiwa bado vijana, ni kama mishale mikononi mwa askari.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kama mishale mikononi mwa shujaa ndivyo walivyo wana awazaao mtu katika ujana wake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kama mishale mikononi mwa shujaa ndivyo walivyo wana awazaao mtu katika ujana wake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kama mishale mkononi mwa shujaa, Ndivyo walivyo watoto wa ujanani.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Watoto waliozaliwa wazazi wakiwa bado vijana, ni kama mishale mikononi mwa askari.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kama mishale ilivyo katika mkono wa mpiga vita. ndivyo, wana wa kiume walivyo, wakiwa wenye nguvu za ujana.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kama mishale mkononi mwa shujaa, Ndivyo walivyo wana wa ujanani.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Watoto wanaokuwa na nguvu, ni kama mishale katika mikono ya askari.