Psalms 127:5 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Heri mtu aliye na mishale hiyo kwa wingi. Hatashindwa atakapokabiliana na adui mahakamani.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Heri mtu ambaye podo lake limejazwa nao. Hawataaibishwa wanaposhindana na adui zao langoni.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Heri mtu yule Aliyelijaza podo lake hivyo. Naam, hawataona aibu Wanaposema na adui langoni.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Heri mtu aliye na mishale hiyo kwa wingi. Hatashindwa atakapokabiliana na adui mahakamani.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Heri mtu ambaye podo lake limejazwa nao. Hawataaibishwa wanaposhindana na adui zao langoni.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Heri mtu ambaye podo lake limejazwa nao. Hawataaibishwa wanaposhindana na adui zao langoni.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Heri mtu yule Aliyelijaza podo lake hivyo. Naam, hawataona aibu Wanaposema na adui langoni.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Heri mtu aliye na mishale hiyo kwa wingi. Hatashindwa atakapokabiliana na adui mahakamani.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mwenye shangwe ni mpiga vita aliyelijaza podo lake hao, hawa hawatatwezeka wakisemeana nao adui zao malangoni.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Heri mtu yule Aliyelijaza podo lake hivyo. Naam, hawataona aibu Wanaposema na adui langoni.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Heri mutu anayekuwa na mishale hiyo kwa wingi. Hatashindwa atakaposamba na waadui zake kwenye tribinali.