Psalms 128:1 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
(Wimbo wa Kwenda Juu) Heri wote wamchao Mwenyezi-Mungu, wanaoishi kufuatana na amri zake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Heri wale wote wamchao Mwenyezi Mungu, wanaoenda katika njia zake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Heri kila mtu amchaye Bwana, Aendaye katika njia yake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Heri wote wamchao Mwenyezi-Mungu, wanaoishi kufuatana na amri zake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
(Wimbo Wa Kwenda Juu) Heri ni wale wote wamchao BWANA, waendao katika njia zake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Heri ni wale wote wamchao bwana, waendao katika njia zake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Heri kila mtu amchaye BWANA, Aendaye katika njia yake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Heri wote wamchao Mwenyezi-Mungu, wanaoishi kufuatana na amri zake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mwenye shangwe ni kila amwogopaye Bwana, azishikaye njia zake!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Heri kila mtu amchaye BWANA, Aendaye katika njia yake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wimbo wa safari za kidini. Heri wote wanaomwabudu Yawe, wanaoishi kufuatana na amri zake.