Psalms 128:4 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Naam, ndivyo atakavyobarikiwa mtu amchaye Mwenyezi-Mungu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hivyo ndivyo atakavyobarikiwa mtu amchaye Mwenyezi Mungu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tazama, atabarikiwa hivyo, yule amchaye Bwana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Naam, ndivyo atakavyobarikiwa mtu amchaye Mwenyezi-Mungu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hivyo ndivyo atakavyobarikiwa mtu amchaye BWANA.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hivyo ndivyo atakavyobarikiwa mtu amchaye bwana.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tazama, atabarikiwa hivyo, yule amchaye BWANA.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Naam, ndivyo atakavyobarikiwa mtu amchaye Mwenyezi-Mungu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani ndivyo, mtu anavyobarikiwa akimwogopa Bwana.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tazama, atabarikiwa hivyo, yule amchaye BWANA.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kweli, hivi ndivyo atakavyobarikiwa mutu anayemwabudu Yawe.