Psalms 128:5 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwenyezi-Mungu akubariki kutoka Siyoni! Uione fanaka ya Yerusalemu, siku zote za maisha yako.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mwenyezi Mungu na akubariki kutoka Sayuni siku zote za maisha yako, na uone mafanikio ya Yerusalemu,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bwana akubariki toka Sayuni; Uone uheri wa Yerusalemu siku zote za maisha yako;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwenyezi-Mungu akubariki kutoka Siyoni! Uione fanaka ya Yerusalemu, siku zote za maisha yako.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
BWANA na akubariki kutoka Sayuni siku zote za maisha yako, na uone mafanikio ya Yerusalemu,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
bwana na akubariki kutoka Sayuni siku zote za maisha yako, na uone mafanikio ya Yerusalemu,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
BWANA akubariki toka Sayuni; Uone uheri wa Yerusalemu siku zote za maisha yako;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwenyezi-Mungu akubariki kutoka Siyoni! Uione fanaka ya Yerusalemu, siku zote za maisha yako.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Bwana na akubariki toka Sioni, uyatazame mema ya Yerusalemu! Na uyaone na kuyafurahia siku zako zote za kuwapo,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
BWANA akubariki toka Sayuni; Uone uheri wa Yerusalemu siku zote za maisha yako;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yawe akubariki kutokea Sayuni! Uone uheri wa Yerusalema, siku zote za maisha yako.