Psalms 128:6 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Uishi na hata uwaone wajukuu zako! Amani iwe na Israeli!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
nawe ujaliwe kuishi uone watoto wa watoto wako. Amani iwe juu ya Israeli.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naam, ukawaone wana wa wanao. Amani ikae na Israeli.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Uishi na hata uwaone wajukuu zako! Amani iwe na Israeli!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
nawe ujaliwe kuishi uone watoto wa watoto wako. Amani iwe juu ya Israeli.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
nawe ujaliwe kuishi uone watoto wa watoto wako. Amani iwe juu ya Israeli.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naam, ukawaone wana wa wanao. Amani ikae na Israeli.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Uishi na hata uwaone wajukuu zako! Amani iwe na Israeli!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
na uone nao watoto wa wanao! Utengemano na uwakalie Waisiraeli!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naam, ukawaone wana wa wanao. Amani ikae na Israeli.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Uishi na hata uwaone wajukuu wako! Amani ikuwe na Israeli!