Psalms 129:1 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
(Wimbo wa Kwenda Juu) “Nimesumbuliwa vibaya tangu ujana wangu Kila mtu katika Israeli na aseme:
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wamenitesa sana tangu ujana wangu; Israeli na aseme sasa:
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mara nyingi wamenitesa tangu ujana wangu, Israeli na aseme sasa,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Nimesumbuliwa vibaya tangu ujana wangu…” Kila mtu katika Israeli na aseme:
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
(Wimbo Wa Kwenda Juu) Wamenionea mno tangu ujana wangu; Israeli na aseme sasa:
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wamenionea mno tangu ujana wangu; Israeli na aseme sasa:
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mara nyingi wamenitesa tangu ujana wangu, Israeli na aseme sasa,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Nimesumbuliwa vibaya tangu ujana wangu Kila mtu katika Israeli na aseme:
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wamenisonga mara nyingi tangu ujana wangu; ndivyo, watakavyosema wao Waisiraeli.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mara nyingi wamenitesa tangu ujana wangu, Israeli na aseme sasa,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wimbo wa safari za kidini. Kila mutu katika Israeli aseme: “Nimesumbuliwa vibaya tangu ujana wangu”.