Psalms 129:2 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Nimesumbuliwa vibaya tangu ujana wangu, lakini hawakufaulu kunishinda.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
wamenitesa sana tangu ujana wangu, lakini bado hawajanishinda.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mara nyingi wamenitesa tangu ujana wangu, Lakini hawakuniweza.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Nimesumbuliwa vibaya tangu ujana wangu, lakini hawakufaulu kunishinda.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
wamenionea mno tangu ujana wangu, lakini bado hawajanishinda.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
wamenionea mno tangu ujana wangu, lakini bado hawajanishinda.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mara nyingi wamenitesa tangu ujana wangu, Lakini hawakuniweza.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Nimesumbuliwa vibaya tangu ujana wangu, lakini hawakufaulu kunishinda.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wamenisonga mara nyingi tangu ujana wangu, lakini hawakupata kunishinda.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mara nyingi wamenitesa tangu ujana wangu, Lakini hawakuniweza.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nimesumbuliwa vibaya tangu ujana wangu, lakini hawakunishinda.