Psalms 129:3 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Walinijeruhi vibaya mgongoni mwangu, wakafanya kama mkulima anayelima shamba.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wakulima wamelima mgongo wangu, na kufanya mifereji yao mirefu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wakulima wamelima mgongoni mwangu, Wamefanya mirefu mifuo yao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Walinijeruhi vibaya mgongoni mwangu, wakafanya kama mkulima anayelima shamba.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakulima wamelima mgongo wangu, na kufanya mifereji yao mirefu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakulima wamelima mgongo wangu, na kufanya mifereji yao mirefu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wakulima wamelima mgongoni mwangu, Wamefanya mirefu mifuo yao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Walinijeruhi vibaya mgongoni mwangu, wakafanya kama mkulima anayelima shamba.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Walimaji walilima mgongoni kwangu, wakatengeneza kuko huko matuta mazima.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wakulima wamelima mgongoni mwangu, Wamefanya mirefu mifuo yao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Walinikata vidonda katika mugongo, kama wanavyolima matuta katika shamba.