Psalms 129:4 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini Mwenyezi-Mungu ni mwadilifu; amezikata kamba za hao watu waovu.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini Mwenyezi Mungu ni mwenye haki; amenifungua toka kamba za waovu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bwana ndiye mwenye haki, Amezikata kamba zao wasio haki.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini Mwenyezi-Mungu ni mwadilifu; amezikata kamba za hao watu waovu.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini BWANA ni mwenye haki; amenifungua toka kamba za waovu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini bwana ni mwenye haki; amenifungua toka kamba za waovu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
BWANA ndiye mwenye haki, Amezikata kamba zao wasio haki.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini Mwenyezi-Mungu ni mwadilifu; amezikata kamba za hao watu waovu.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini Bwana ni mwongofu, amezikata kamba zao wasiomcha.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
BWANA ndiye mwenye haki, Amezikata kamba zao wasio haki.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini Yawe ni mwenye haki; ametutosha katika utumwa wa hao waovu.