Psalms 129:5 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Na waaibishwe na kurudishwa nyuma, wote wale wanaouchukia mji wa Siyoni.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wale wote wanaoichukia Sayuni na warudishwe nyuma kwa aibu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na waaibishwe, warudishwe nyuma, Wote wanaoichukia Sayuni.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Na waaibishwe na kurudishwa nyuma, wote wale wanaouchukia mji wa Siyoni.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wale wote waichukiao Sayuni na warudishwe nyuma kwa aibu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wale wote waichukiao Sayuni na warudishwe nyuma kwa aibu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na waaibishwe, warudishwe nyuma, Wote wanaoichukia Sayuni.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Na waaibishwe na kurudishwa nyuma, wote wale wanaouchukia mji wa Siyoni.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Sharti watwezwe na kurudishwa nyuma wote wachukizwao na Sioni!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na waaibishwe, warudishwe nyuma, Wote wanaoichukia Sayuni.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wafezeheke na kurudishwa nyuma, wote wale wanaouchukia Sayuni.