Psalms 129:6 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wawe kama nyasi juu ya paa la nyumba, ambazo hunyauka kabla hazijakua,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wawe kama majani juu ya paa, ambayo hunyauka kabla hayajakua;
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na wawe kama majani ya darini Yanyaukayo kabla hayajamea.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wawe kama nyasi juu ya paa la nyumba, ambazo hunyauka kabla hazijakua,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wawe kama majani juu ya paa, ambayo hunyauka kabla hayajakua;
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wawe kama majani juu ya paa, ambayo hunyauka kabla hayajakua;
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na wawe kama majani ya darini Yanyaukayo kabla hayajamea.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wawe kama nyasi juu ya paa la nyumba, ambazo hunyauka kabla hazijakua,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Sharti wawe kama majani yaliyoko kipaani juu ya nyumba! Miche yao hunyauka ikiwa haijachanua bado.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na wawe kama majani ya darini Yanyaukayo kabla hayajamea.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wakuwe kama nyasi juu ya paa la nyumba, ambazo zinanyauka mbele ya kukomaa,