Psalms 129:7 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
hakuna anayejishughulisha kuzikusanya, wala kuzichukua kama matita.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
kwa hayo mvunaji hawezi kujaza vitanga vyake, wala akusanyaye kujaza mikono yake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ambayo mvunaji haujazi mkono wake, Wala mfunga miganda kifua chake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
hakuna anayejishughulisha kuzikusanya, wala kuzichukua kama matita.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
kwa hayo mvunaji hawezi kujaza vitanga vyake, wala akusanyaye kujaza mikono yake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
kwa hayo mvunaji hawezi kujaza vitanga vyake, wala akusanyaye kujaza mikono yake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ambayo mvunaji haujazi mkono wake, Wala mfunga miganda kifua chake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
hakuna anayejishughulisha kuzikusanya, wala kuzichukua kama matita.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hapo mvunaji hawezi kukijaza kiganja chake tu, wala mfunga miganda hapajazi penye kifua chake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ambayo mvunaji haujazi mkono wake, Wala mfunga miganda kifua chake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
anayezikata hajazi kitanga cha mukono, wala anayezikusanya haenezi fungu.