Psalms 129:8 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hakuna apitaye karibu atakayewaambia: “Mwenyezi-Mungu awabariki! Twawabariki kwa jina la Mwenyezi-Mungu!”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wale wapitao karibu na wasiseme, “Baraka ya Mwenyezi Mungu iwe juu yako; tunakubariki katika jina la Mwenyezi Mungu.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wala hawasemi wapitao, Amani ya Bwana ikae nanyi, Twawabariki kwa jina la Bwana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hakuna apitaye karibu atakayewaambia: “Mwenyezi-Mungu awabariki! Twawabariki kwa jina la Mwenyezi-Mungu!”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wale wapitao karibu na wasiseme, “Baraka ya BWANA iwe juu yako; tunakubariki katika jina la BWANA.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wale wapitao karibu na wasiseme, “Baraka ya bwana iwe juu yako; tunakubariki katika jina la bwana.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wapitao nao hawasemi, Amani ya BWANA ikae nanyi, Twawabariki kwa jina la BWANA.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hakuna apitaye karibu atakayewaambia: “Mwenyezi-Mungu awabariki! Twawabariki kwa jina la Mwenyezi-Mungu!”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wapitao wasiseme: Bwana na awabariki! Lakini ninyi tunawabariki katika Jina la Bwana.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wala hawasemi wapitao, Amani ya BWANA ikae nanyi, Twawabariki kwa jina la BWANA.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Naye anayepita karibu asiwaambie: “Yawe awabariki! Tunawabariki kwa jina la Yawe!”