Psalms 13:1 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
(Kwa Mwimbishaji. Zaburi ya Daudi) Mpaka lini ee Mwenyezi-Mungu, utanisahau? Je, utanisahau mpaka milele? Mpaka lini utanificha uso wako?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hadi lini, Ee Mwenyezi Mungu? Je, utanisahau milele? Utanificha uso wako hadi lini?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ee Bwana, hata lini utanisahau, hata milele? Hata lini utanificha uso wako?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mpaka lini ee Mwenyezi-Mungu, utanisahau? Je, utanisahau mpaka milele? Mpaka lini utanificha uso wako?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
(Kwa Mwimbishaji: Zaburi Ya Daudi) Mpaka lini, Ee BWANA? Je, utanisahau milele? Utanificha uso wako mpaka lini?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mpaka lini, Ee bwana? Je, utanisahau milele? Utanificha uso wako mpaka lini?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ee BWANA, utanisahau hadi lini, hata milele? Hadi lini utanificha uso wako?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mpaka lini ee Mwenyezi-Mungu, utanisahau? Je, utanisahau mpaka milele? Mpaka lini utanificha uso wako?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mpaka lini, Bwana, utanisahau kila mara? Mpaka lini utauficha uso wako, usinione?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ee BWANA, hata lini utanisahau, hata milele? Hata lini utanificha uso wako?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa mukubwa wa waimbaji. Zaburi ya Daudi.