Psalms 13:2 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nitakuwa na wasiwasi rohoni hadi lini, na sikitiko moyoni siku hata siku? Hadi lini adui zangu watafurahia taabu zangu?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nitapambana na mawazo yangu hadi lini, na kila siku kuwa na majonzi moyoni mwangu? Adui zangu watanishinda hadi lini?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hata lini nifanye mashauri nafsini mwangu, Nikihuzunika moyoni mchana kutwa? Hata lini adui yangu atukuke juu yangu?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nitakuwa na wasiwasi rohoni hadi lini, na sikitiko moyoni siku hata siku? Hadi lini adui zangu watafurahia taabu zangu?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nitapambana na mawazo yangu mpaka lini na kila siku kuwa na majonzi moyoni mwangu? Adui zangu watanishinda mpaka lini?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nitapambana na mawazo yangu mpaka lini, na kila siku kuwa na majonzi moyoni mwangu? Adui zangu watanishinda mpaka lini?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nitakuwa na wasiwasi rohoni mwangu hadi lini, Nikihuzunika moyoni mchana kutwa? Adui yangu atatukuka juu yangu hadi lini?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nitakuwa na wasiwasi rohoni hadi lini, na sikitiko moyoni siku hata siku? Hadi lini adui zangu watafurahia taabu zangu?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mpaka lini nitie wasiwasi rohoni mwangu na masikitiko moyoni mwangu kila siku? Mpaka lini ataniinukia mchukivu wangu?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hata lini nifanye mashauri nafsini mwangu, Nikihuzunika moyoni mchana kutwa? Hata lini adui yangu atukuke juu yangu?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mpaka wakati gani, ee Yawe, utaendelea kunisahau? Mpaka wakati gani utanificha uso wako?