Psalms 13:3 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Uniangalie na kunijibu, ee Mwenyezi-Mungu, Mungu wangu. Uyaangazie macho yangu, nisipatwe na usingizi wa kifo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nitazame, unijibu, Ee Mwenyezi Mungu, Mungu wangu. Yatie nuru macho yangu, ama sivyo nitalala usingizi wa mauti.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ee Bwana, Mungu wangu, uangalie, uniitikie; Uyatie nuru macho yangu, Nisije nikalala usingizi wa mauti.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Uniangalie na kunijibu, ee Mwenyezi-Mungu, Mungu wangu. Uyaangazie macho yangu, nisipatwe na usingizi wa kifo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nitazame unijibu, Ee BWANA Mungu wangu. Uyatie nuru macho yangu, ama sivyo nitalala usingizi wa mauti;
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nitazame, unijibu, Ee bwana Mwenyezi Mungu wangu. Yatie nuru macho yangu, ama sivyo nitalala usingizi wa mauti.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ee BWANA, Mungu wangu, uangalie, uniitikie; Uyatie nuru macho yangu, Nisije nikalala usingizi wa mauti.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Uniangalie na kunijibu, ee Mwenyezi-Mungu, Mungu wangu. Uyaangazie macho yangu, nisipatwe na usingizi wa kifo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nitazame, ukaniitikie, Bwana Mungu wangu! Yaangaze macho yangu, nisipatwe na usingizi uuao!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ee BWANA, Mungu wangu, uangalie, uniitikie; Uyatie nuru macho yangu, Nisije nikalala usingizi wa mauti.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mpaka wakati gani nitakuwa na wasiwasi katika roho na sikitiko katika moyo siku hata siku? Mpaka wakati gani waadui zangu watanishinda?