Psalms 13:4 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Usiwaache maadui zangu waseme: “Tumemweza huyu!” Watesi wangu wasije wakafurahia kuanguka kwangu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Adui yangu atasema, “Nimemshinda,” nao adui zangu watashangilia nitakapoanguka.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Adui yangu asije akasema, Nimemshinda; Watesi wangu wasifurahi ninapoondoshwa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Usiwaache maadui zangu waseme: “Tumemweza huyu!” Watesi wangu wasije wakafurahia kuanguka kwangu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
adui yangu atasema, “Nimemshinda,” nao adui zangu watashangilia nitakapoanguka.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Adui yangu atasema, “Nimemshinda,” nao adui zangu watashangilia nitakapoanguka.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Adui yangu asije akasema, Nimemshinda; Watesi wangu wasifurahi ninapoondoshwa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Usiwaache maadui zangu waseme: “Tumemweza huyu!” Watesi wangu wasije wakafurahia kuanguka kwangu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mchukivu wangu asiseme: Nimemshinda! Nao wanisongao wasishangilie, ya kuwa nimetikisika!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Adui yangu asije akasema, Nimemshinda; Watesi wangu wasifurahi ninapoondoshwa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Uniangalie na kunijibu, ee Yawe, Mungu wangu. Uyaangazie macho yangu, nisipatwe na usingizi wa kifo.