Psalms 13:5 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini mimi nazitumainia fadhili zako; moyo wangu na ufurahie wokovu wako.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini ninategemea upendo wako usiokoma; moyo wangu unashangilia katika wokovu wako.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nami nimezitumainia fadhili zako; Moyo wangu na uufurahie wokovu wako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini mimi nazitumainia fadhili zako; moyo wangu na ufurahie wokovu wako.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini ninategemea upendo wako usiokoma; moyo wangu unashangilia katika wokovu wako.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini ninategemea upendo wako usiokoma; moyo wangu unashangilia katika wokovu wako.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini mimi nimezitumainia fadhili zako; Moyo wangu na uufurahie wokovu wako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini mimi nazitumainia fadhili zako; moyo wangu na ufurahie wokovu wako.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nami nimeuegemea upole wako; moyo wangu hushangilia, ya kuwa unaniokoa; nitamwimbia Bwana kwa ajili ya mema, aliyonitendea.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nami nimezitumainia fadhili zako; Moyo wangu na uufurahie wokovu wako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Usiwaache waadui zangu waseme: “Tumemushinda huyu!” Watesaji wangu wasifurahie kuanguka kwangu.