Psalms 13:6 — Compare Translations

10 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nitakuimbia wewe, ee Mwenyezi-Mungu, kwa ukarimu mwingi ulionitendea!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nitamwimbia Mwenyezi Mungu, kwa kuwa amekuwa mwema kwangu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naam, nimwimbie Bwana, Kwa kuwa amenitendea kwa ukarimu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nitakuimbia wewe, ee Mwenyezi-Mungu, kwa ukarimu mwingi ulionitendea!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nitamwimbia BWANA, kwa kuwa amekuwa mwema kwangu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nitamwimbia bwana, kwa kuwa amekuwa mwema kwangu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naam, nitamwimbia BWANA, Kwa kuwa amenitendea kwa ukarimu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nitakuimbia wewe, ee Mwenyezi-Mungu, kwa ukarimu mwingi ulionitendea!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naam, nimwimbie BWANA, Kwa kuwa amenitendea kwa ukarimu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini mimi ninatumainia wema wako, moyo wangu ufurahie wokovu wako. Nitakuimbia wewe, ee Yawe, kwa vyote ulivyonitendea!