Psalms 130:1 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
(Wimbo wa Kwenda Juu) Toka upeo wa unyonge wangu, nakulilia, ee Mwenyezi-Mungu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kutoka vilindini ninakulilia, Ee Mwenyezi Mungu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ee Bwana, toka vilindini nimekulilia.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Toka upeo wa unyonge wangu, nakulilia, ee Mwenyezi-Mungu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
(Wimbo Wa Kwenda Juu) Kutoka katika vilindi ninakulilia, Ee BWANA,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kutoka vilindini ninakulilia, Ee bwana.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ee BWANA, toka vilindini nimekulilia.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Toka upeo wa unyonge wangu, nakulilia, ee Mwenyezi-Mungu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
*Humu, nilimo vilindini, ninakulilia, Bwana.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ee BWANA, toka vilindini nimekulilia.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wimbo wa safari za kidini. Tokea humu katika taabu inayonilemea, ninakulilia, ee Yawe.