Psalms 130:2 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ee Bwana, sikia sauti yangu, uitegee sikio sauti ya ombi langu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ee Bwana, sikia sauti yangu. Masikio yako na yawe masikivu kwa kilio changu unihurumie.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bwana, uisikie sauti yangu. Masikio yako na yaisikilize Sauti ya dua zangu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ee Bwana, sikia sauti yangu, uitegee sikio sauti ya ombi langu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ee BWANA, sikia sauti yangu. Masikio yako na yawe masikivu kwa kilio changu unihurumie.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ee bwana, sikia sauti yangu. Masikio yako na yawe masikivu kwa kilio changu unihurumie.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Bwana, uisikie sauti yangu. Masikio yako na yaisikilize Sauti ya dua zangu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ee Bwana, sikia sauti yangu, uitegee sikio sauti ya ombi langu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ninakuomba, Bwana, uisikilize sauti yangu! Masikio yako na yaziangalie sauti za malalamiko yangu!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Bwana, uisikie sauti yangu. Masikio yako na yaisikilize Sauti ya dua zangu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ee Bwana, usikie sauti yangu, ulitegee ombi langu sikio.