Psalms 130:3 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kama, ee Mwenyezi-Mungu ungekumbuka maovu yetu nani, ee Bwana, angeweza kusalimika?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kama wewe, Ee Mwenyezi Mungu, ungeweka kumbukumbu ya dhambi, Ee Bwana, ni nani angeweza kusimama?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bwana, kama Wewe ungehesabu maovu, Ee Bwana, nani angesimama?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kama, ee Mwenyezi-Mungu ungekumbuka maovu yetu nani, ee Bwana, angeweza kusalimika?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kama wewe, Ee BWANA, ungeweka kumbukumbu ya dhambi, Ee BWANA, ni nani angeliweza kusimama?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kama wewe, Ee bwana, ungeweka kumbukumbu ya dhambi, Ee Bwana, ni nani angeliweza kusimama?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
BWANA, kama Wewe ungehesabu maovu, Ee Bwana, nani angesimama?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kama, ee Mwenyezi-Mungu ungekumbuka maovu yetu nani, ee Bwana, angeweza kusalimika?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Bwana, kama unazishika manza, watu walizozikora, yuko nani atakayesimama mbele yako wewe?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
BWANA, kama Wewe ungehesabu maovu, Ee Bwana, nani angesimama?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ee Yawe, kama ungekumbuka maovu yetu, nani, ee Bwana wetu, angeweza kuishi?