Psalms 130:5 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Namtumainia Mwenyezi-Mungu kwa moyo wangu wote; nina imani sana na neno lake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Namngojea Mwenyezi Mungu, nafsi yangu inangojea, katika neno lake naweka tumaini langu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nimemngoja Bwana, roho yangu imengoja, Na neno lake nimelitumainia.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Namtumainia Mwenyezi-Mungu kwa moyo wangu wote; nina imani sana na neno lake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Namngojea BWANA, nafsi yangu inangojea, katika neno lake naweka tumaini langu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Namngojea bwana, nafsi yangu inangojea, katika neno lake naweka tumaini langu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nimemngoja BWANA, roho yangu imengoja, Na neno lake nimelitumainia.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Namtumainia Mwenyezi-Mungu kwa moyo wangu wote; nina imani sana na neno lake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ninamngojea Bwana, nayo roho yangu inamngojea, nalo Neno lake ndilo, ninalolitazamia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nimemngoja BWANA, roho yangu imengoja, Na neno lake nimelitumainia.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ninamutumainia Yawe kwa moyo wangu wote. Ninaaminia sana neno lake.