Psalms 130:7 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ee Israeli, umtumainie Mwenyezi-Mungu, maana kwake Mwenyezi-Mungu kuna fadhili, kwake kuna nguvu kubwa ya kutukomboa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ee Israeli, mtumaini Mwenyezi Mungu, maana kwa Mwenyezi Mungu kuna upendo usiokoma, na kwake kuna ukombozi kamili.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ee Israeli, umtarajie Bwana; Maana kwa Bwana kuna fadhili, Na kwake kuna ukombozi mwingi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ee Israeli, umtumainie Mwenyezi-Mungu, maana kwake Mwenyezi-Mungu kuna fadhili, kwake kuna nguvu kubwa ya kutukomboa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ee Israeli, mtumaini BWANA, maana kwa BWANA kuna upendo usiokoma, na kwake kuna ukombozi kamili.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ee Israeli, mtumaini bwana, maana kwa bwana kuna upendo usiokoma, na kwake kuna ukombozi kamili.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ee Israeli, umtarajie BWANA; Maana kwa BWANA kuna fadhili, Na kwake kuna ukombozi mwingi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ee Israeli, umtumainie Mwenyezi-Mungu, maana kwake Mwenyezi-Mungu kuna fadhili, kwake kuna nguvu kubwa ya kutukomboa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Waisiraeli na wamngoje Bwana! Kwani kwake Bwana kuna upole, nao ukombozi uko kwake wa kukomboa wengi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ee Israeli, umtarajie BWANA; Maana kwa BWANA kuna fadhili, Na kwake kuna ukombozi mwingi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ee Israeli, umutumainie Yawe, maana Yawe ni mwenye wema, naye ana nguvu kubwa ya kutukomboa.