Psalms 130:8 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yeye atawakomboa watu wa Israeli kutoka katika maovu yao yote.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yeye mwenyewe ataikomboa Israeli kutoka dhambi zao zote.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Yeye atamkomboa Israeli na maovu yake yote.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yeye atawakomboa watu wa Israeli kutoka katika maovu yao yote.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yeye mwenyewe ataikomboa Israeli kutoka katika dhambi zao zote.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yeye mwenyewe ataikomboa Israeli kutoka dhambi zao zote.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Yeye atamkomboa Israeli na maovu yake yote.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yeye atawakomboa watu wa Israeli kutoka katika maovu yao yote.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yeye atawakomboa Waisiraeli katika manza, walizozikora zote.*
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Yeye atamkomboa Israeli na maovu yake yote.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yeye atawakomboa watu wa Israeli kutoka katika maovu yao yote.