Psalms 132:1 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
(Wimbo wa Kwenda Juu) Ee Mwenyezi-Mungu, mkumbuke Daudi, kumbuka taabu zote alizopata.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ee Mwenyezi Mungu, mkumbuke Daudi na taabu zote alizozistahimili.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bwana, umkumbukie Daudi Taabu zake zote alizotaabika.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ee Mwenyezi-Mungu, mkumbuke Daudi, kumbuka taabu zote alizopata.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
(Wimbo Wa Kwenda Juu) Ee BWANA, mkumbuke Daudi na taabu zote alizozistahimili.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ee bwana, mkumbuke Daudi na taabu zote alizozistahimili.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
BWANA, umkumbukie Daudi Taabu zake zote alizotaabika.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ee Mwenyezi-Mungu, mkumbuke Daudi, kumbuka taabu zote alizopata.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Bwana, mkumbukie Dawidi masumbuko yake yote!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
BWANA, umkumbukie Daudi Taabu zake zote alizotaabika.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wimbo wa safari za kidini. Ee Yawe, umukumbuke Daudi, kumbuka taabu zote alizopata.