Psalms 132:10 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kwa ajili ya Daudi, mtumishi wako, usimkatae huyo mfalme uliyemweka wakfu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa ajili ya Daudi mtumishi wako, usimkatae mpakwa mafuta wako.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa ajili ya Daudi, mtumishi wako, Usiurudishe nyuma uso wa masihi
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kwa ajili ya Daudi, mtumishi wako, usimkatae huyo mfalme uliyemweka wakfu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa ajili ya Daudi mtumishi wako, usimkatae masiya wako.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa ajili ya Daudi mtumishi wako, usimkatae mpakwa mafuta wako.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa ajili ya Daudi, mtumishi wako, Usiurudishe nyuma uso wa masihi wako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kwa ajili ya Daudi, mtumishi wako, usimkatae huyo mfalme uliyemweka wakfu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa ajili ya mtumishi wako Dawidi usiurudishe nyuma uso wake yeye, uliyempaka mafuta.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa ajili ya Daudi, mtumishi wako, Usiurudishe nyuma uso wa masihi wako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa ajili ya Daudi, mutumishi wako, usimukatae huyo mufalme uliyemuchagua.