Psalms 132:11 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwenyezi-Mungu alimwapia Daudi kiapo thabiti, kiapo ambacho hatakibatilisha: “Nitamtawaza mmoja wa wazawa wako mwenyewe, kuwa mfalme baada yako.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mwenyezi Mungu alimwapia Daudi kiapo, kiapo cha uhakika ambacho hatakitangua: “Nitamweka mmoja wa wazao wako mwenyewe kwenye kiti chako cha ufalme,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bwana amemwapia Daudi neno la kweli, Hatarudi nyuma akalihalifu, Baadhi ya wazao wa mwili wako Nitawaweka katika kiti chako cha enzi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwenyezi-Mungu alimwapia Daudi kiapo thabiti, kiapo ambacho hatakibatilisha: “Nitamtawaza mmoja wa wazawa wako mwenyewe, kuwa mfalme baada yako.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
BWANA alimwapia Daudi kiapo, kiapo cha uhakika ambacho hatakitangua: “Mmoja wa wazao wako mwenyewe nitamweka katika kiti chako cha enzi,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
bwana alimwapia Daudi kiapo, kiapo cha uhakika ambacho hatakitangua: “Nitamweka mmoja wa wazao wako mwenyewe katika kiti chako cha enzi,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
BWANA amemwapia Daudi neno la kweli, Hatarudi nyuma akalivunja, Mmoja wa wana wako mwenyewe Nitawaweka katika kiti chako cha enzi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwenyezi-Mungu alimwapia Daudi kiapo thabiti, kiapo ambacho hatakibatilisha: “Nitamtawaza mmoja wa wazawa wako mwenyewe, kuwa mfalme baada yako.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Bwana alimwapia Dawidi kiapo cha kweli, naye hatakiacha akirudi nyuma:
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
BWANA amemwapia Daudi neno la kweli, Hatarudi nyuma akalihalifu, Baadhi ya wazao wa mwili wako Nitawaweka katika kiti chako cha enzi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yawe alimwapia Daudi kiapo cha hakika, kiapo hiki ambacho hatakivunja: “Nitamuweka mumoja wa wazao wako mwenyewe, kuwa mufalme nyuma yako.