Psalms 132:12 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Watoto wako wakishika agano langu, na kuzingatia mafundisho nitakayowapa, watoto wao pia watakuwa wafalme kama wewe.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
kama wanao watashika agano langu na sheria ninazowafundisha, ndipo wana wao watakalia kiti chako cha ufalme milele na milele.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wanao wakiyashika maagano yangu, Na shuhuda nitakazowafundisha; Watoto wao nao wataketi Katika kiti chako cha enzi milele.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Watoto wako wakishika agano langu, na kuzingatia mafundisho nitakayowapa, watoto wao pia watakuwa wafalme kama wewe.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
kama wanao watashika Agano langu na sheria ninazowafundisha, ndipo wana wao watarithi kiti chako cha enzi milele na milele.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
kama wanao watashika Agano langu na sheria ninazowafundisha, ndipo wana wao watarithi kiti chako cha enzi milele na milele.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wanao wakiyashika maagano yangu, Na shuhuda nitakazowafundisha; Watoto wao nao wataketi Katika kiti chako cha enzi milele.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Watoto wako wakishika agano langu, na kuzingatia mafundisho nitakayowapa, watoto wao pia watakuwa wafalme kama wewe.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Walio uzao wa mwili wako nitawaketisha katika kiti chako cha kifalme, Kama wanao watalishika Agano langu, walifanye, kama watayashika hayo mashuhuda yangu, nitakayowafundisha, wana wao wataketi kale na kale katika kiti chako cha kifalme.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wanao wakiyashika maagano yangu, Na shuhuda nitakazowafundisha; Watoto wao nao wataketi Katika kiti chako cha enzi milele.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Watoto wako wakishika agano langu, na kufuata maagizo nitakayowapa, watoto wao pia watakuwa wafalme kama wewe milele.”