Psalms 132:13 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwenyezi-Mungu ameuchagua mji wa Siyoni, ametaka uwe makao yake:
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa maana Mwenyezi Mungu ameichagua Sayuni, amepaonea shauku pawe maskani yake:
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa kuwa Bwana ameichagua Sayuni, Ameitamani akae ndani yake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwenyezi-Mungu ameuchagua mji wa Siyoni, ametaka uwe makao yake:
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa maana BWANA ameichagua Sayuni, amepaonea shauku pawe maskani yake:
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa maana bwana ameichagua Sayuni, amepaonea shauku pawe maskani yake:
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa kuwa BWANA ameichagua Sayuni, Ameitamani akae ndani yake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwenyezi-Mungu ameuchagua mji wa Siyoni, ametaka uwe makao yake:
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani Bwana aliuchagua mji wa Sioni, akaupenda, uwe Kao lake:
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa kuwa BWANA ameichagua Sayuni, Ameitamani akae ndani yake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yawe ameuchagua Sayuni, ametaka ukuwe makao yake.