Psalms 132:16 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nitawafanikisha makuhani wake kwa wokovu; waaminifu wake watapiga vigelegele vya furaha.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nitawavika makuhani wake wokovu, nao watakatifu wake watadumu wakiimba kwa furaha.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na makuhani wake nitawavika wokovu, Na watauwa wake watashangilia.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nitawafanikisha makuhani wake kwa wokovu; waaminifu wake watapiga vigelegele vya furaha.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nitawavika makuhani wake wokovu, nao watakatifu wake watadumu wakiimba kwa furaha.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nitawavika makuhani wake wokovu, nao watakatifu wake watadumu wakiimba kwa furaha.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na makuhani wake nitawavika wokovu, Na watauwa wake watashangilia.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nitawafanikisha makuhani wake kwa wokovu; waaminifu wake watapiga vigelegele vya furaha.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Watambikaji wake nitawavika wokovu, nao wanichao watapiga vigelegele.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na makuhani wake nitawavika wokovu, Na watauwa wake watashangilia.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nitawavalisha makuhani wake katika wokovu, waaminifu wake watapiga vigelegele vya furaha.