Psalms 132:17 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Humo nitamchipusha mfalme shujaa wa ukoo wa Daudi: Kama taa iwakayo nitamtegemeza mfalme niliyemteua.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Hapa nitamchipushia Daudi pembe, na kuweka taa kwa ajili ya masiya wangu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hapo nitamchipushia Daudi pembe, Na taa nimemtengenezea masihi
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Humo nitamchipusha mfalme shujaa wa ukoo wa Daudi: kama taa iwakayo nitamtegemeza mfalme niliyemteua.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Hapa nitamchipushia Daudi pembe, na kuweka taa kwa ajili ya masiya wangu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Hapa nitamchipushia Daudi pembe, na kuweka taa kwa ajili ya masiya wangu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hapo nitamchipushia Daudi pembe, Na taa nimemtengenezea masihi wangu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Humo nitamchipusha mfalme shujaa wa ukoo wa Daudi: Kama taa iwakayo nitamtegemeza mfalme niliyemteua.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hapo ndipo, nitakapolivumisha baragumu lake Dawidi, limpatie nguvu, naye, niliyempaka mafuta, nitamtengenezea taa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hapo nitamchipushia Daudi pembe, Na taa nimemtengenezea masihi wangu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Humo nitamuchipukiza mufalme shujaa wa ukoo wa Daudi. Kama vile taa inayowaka, nitamwimarisha mufalme niliyemuchagua.