Psalms 132:18 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Maadui zake nitawavika aibu; lakini yeye nitamvika fahari ya kifalme.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Adui zake nitawavika aibu, bali taji kichwani pake litang’aa sana.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Adui zake nitawavika aibu, Bali juu yake taji yake itasitawi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Maadui zake nitawavika aibu; lakini yeye nitamvika fahari ya kifalme.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Adui zake nitawavika aibu, bali taji kichwani pake itang'aa sana.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Adui zake nitawavika aibu, bali taji kichwani pake itang’aa sana.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Adui zake nitawavika aibu, Bali juu yake taji lake litasitawi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Maadui zake nitawavika aibu; lakini yeye nitamvika fahari ya kifalme.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Walio adui zake nitawavika soni, lakini kichwani pake kitametameta kilemba, nilichomfunga.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Adui zake nitawavika aibu, Bali juu yake taji yake itasitawi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Waadui zake nitawavalisha haya; lakini yeye nitamuvalisha utukufu wa kifalme.”