Psalms 132:2 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ukumbuke ahadi aliyokupa, ee Mwenyezi-Mungu, kiapo alichokuapia, ewe Mwenye Nguvu wa Yakobo:
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Aliapa kiapo kwa Mwenyezi Mungu na akaweka nadhiri kwa Yule Mwenye Nguvu wa Yakobo:
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ndiye aliyemwapia Bwana, Akaweka nadhiri kwa Shujaa wa Yakobo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ukumbuke ahadi aliyokupa, ee Mwenyezi-Mungu, kiapo alichokuapia, ewe Mwenye Nguvu wa Yakobo:
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Aliapa kiapo kwa BWANA na akaweka nadhiri kwa yeye Mwenye Nguvu wa Yakobo:
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Aliapa kiapo kwa bwana na akaweka nadhiri kwa Yule Mwenye Nguvu wa Yakobo:
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ndiye aliyemwapia BWANA, Akaweka nadhiri kwa shujaa wa Yakobo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ukumbuke ahadi aliyokupa, ee Mwenyezi-Mungu, kiapo alichokuapia, ewe Mwenye Nguvu wa Yakobo:
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yeye alimwapia Bwana, kisha akamwagia naye yule Mwenye nguvu aliye Mungu wa Yakobo:
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ndiye aliyemwapia BWANA, Akaweka nadhiri kwa Shujaa wa Yakobo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ukumbuke ahadi aliyokupa, ee Yawe, ndicho kiapo alichokuapia, ewe Mwenye Nguvu wa Yakobo. Alisema: