Psalms 132:3 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Sitaingia ndani ya nyumba yangu, wala kulala kitandani mwangu;
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Sitaingia nyumbani mwangu au kwenda kitandani mwangu:
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Sitaingia hemani mwa nyumba yangu, Wala sitapanda matandiko ya kitanda changu;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Sitaingia ndani ya nyumba yangu, wala kulala kitandani mwangu;
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Sitaingia nyumbani mwangu au kwenda kitandani mwangu:
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Sitaingia nyumbani mwangu au kwenda kitandani mwangu:
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
“Sitaingia nyumbani mwangu, Wala sitalala kitandani mwangu;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Sitaingia ndani ya nyumba yangu, wala kulala kitandani mwangu;
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Sitaingia nyumbani mwangu, nilimotua, wala sitapanda kitandani pangu pa kulalia,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Sitaingia hemani mwa nyumba yangu, Wala sitapanda matandiko ya kitanda changu;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
“Sitaingia ndani ya nyumba yangu, wala kulala ndani ya kitanda changu,