Psalms 132:4 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
sitakubali kulala usingizi, wala kusinzia;
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
sitaruhusu usingizi katika macho yangu, wala kope zangu kusinzia,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Sitaacha macho yangu kuwa na usingizi, Wala kope zangu kusinzia;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
sitakubali kulala usingizi, wala kusinzia;
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
sitaruhusu usingizi katika macho yangu, wala kope zangu kusinzia,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
sitaruhusu usingizi katika macho yangu, wala kope zangu kusinzia,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Sitaacha macho yangu kuwa na usingizi, Wala kope zangu kusinzia;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
sitakubali kulala usingizi, wala kusinzia;
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
nitayazuia macho yangu, yasipate uzingizi, nitaziangalia nazo kope zangu, zisisinzie,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Sitaacha macho yangu kuwa na usingizi, Wala kope zangu kusinzia;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
sitakubali kulala usingizi, wala kusinzia,