Psalms 132:5 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
mpaka nikupatie wewe Mwenyezi-Mungu mahali pa kukaa, makao yako, ewe Mwenye Nguvu wa Yakobo!”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
hadi nitakapompatia Mwenyezi Mungu mahali, makao kwa ajili ya Yule Mwenye Nguvu wa Yakobo.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hata nitakapompatia Bwana mahali, Na Shujaa wa Yakobo maskani.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
mpaka nikupatie wewe Mwenyezi-Mungu mahali pa kukaa, makao yako, ewe Mwenye Nguvu wa Yakobo!”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
mpaka nitakapompatia BWANA mahali, makao kwa ajili ya yeye Mwenye Nguvu wa Yakobo.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
mpaka nitakapompatia bwana mahali, makao kwa ajili ya Yule Mwenye Nguvu wa Yakobo.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hadi nitakapompatia BWANA mahali, Na Mwenye nguvu wa Yakobo maskani”.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
mpaka nikupatie wewe Mwenyezi-Mungu mahali pa kukaa, makao yako, ewe Mwenye Nguvu wa Yakobo!”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
mpaka nitakapompatia Bwana mahali pa kuwapo, pawe makao yake Mwenye nguvu aliye Mungu wa Yakobo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hata nitakapompatia BWANA mahali, Na Shujaa wa Yakobo maskani.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
mpaka nikutayarishie wewe Yawe nafasi ya kukaa, ndiyo makao yako, ewe Mwenye Nguvu wa Yakobo!”