Psalms 132:6 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Huko Efratha tulisikia habari za sanduku la agano, tukalikuta katika mashamba ya Yearimu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Tulisikia habari hii huko Efrata, tulikutana nayo katika mashamba ya Yaara:
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tazama, tulisikia habari zake katika Efrata, Katika konde la Yearimu tuliiona.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Huko Efratha tulisikia habari za sanduku la agano, tukalikuta katika mashamba ya Yearimu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Tulisikia habari hii huko Efrathi, tulikutana nayo katika mashamba ya Yaara
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Tulisikia habari hii huko Efrathi, tulikutana nayo katika mashamba ya Yaara:
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tazama, tulisikia habari zake katika Efrata, Katika shamba la Yearimu tuliiona.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Huko Efratha tulisikia habari za sanduku la agano, tukalikuta katika mashamba ya Yearimu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndivyo, tulivyovisikia katika nchi ya Efurata, ndivyo, tulivyoviona mashambani kwenye misitu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tazama, tulisikia habari zake katika Efrata, Katika konde la Yearimu tuliiona.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Tulisikia wakisema: “Sanduku la Agano ni kule Efurata, tulilikuta katika mashamba ya Yearimu.”