Psalms 132:7 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Haya! Twende nyumbani kwa Mungu, tuabudu mbele ya kiti chake cha enzi!”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Twendeni kwenye makao yake, na tuabudu kwenye kiti cha kuwekea miguu yake;
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na tuingie katika maskani yake, Tusujudu penye kiti cha kuwekea miguu yake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Haya! Twende nyumbani kwa Mungu, tuabudu mbele ya kiti chake cha enzi!”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Twendeni kwenye makao yake, na tuabudu kwenye kiti cha kuwekea miguu yake;
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Twendeni kwenye makao yake, na tuabudu kwenye kiti cha kuwekea miguu yake;
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na tuingie katika maskani yake, Tusujudu penye kiti cha kuwekea miguu yake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Haya! Twende nyumbani kwa Mungu, tuabudu mbele ya kiti chake cha enzi!”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Na tuingie hapo, makao yake yalipo! Na tumwangukie hapo, anapowekea miguu yake!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na tuingie katika maskani yake, Tusujudu penye kiti cha kuwekea miguu yake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi! Tuende kwa nyumba ya Mungu, tuabudu mbele ya kiti chake cha kifalme!