Psalms 132:8 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Inuka ee Mwenyezi-Mungu, nenda kwenye maskani yako; inuka pamoja na sanduku la agano la uwezo wako!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
inuka, Ee Mwenyezi Mungu, uje mahali pako pa kupumzikia, wewe na Sanduku la nguvu zako.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ee Bwana, uinuke, uende kwenye raha yako, Wewe na sanduku la nguvu zako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Inuka ee Mwenyezi-Mungu, nenda kwenye maskani yako; inuka pamoja na sanduku la agano la uwezo wako!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
inuka, Ee BWANA, uje mahali pako pa kupumzikia, wewe na Sanduku la nguvu zako.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
inuka, Ee bwana, uje mahali pako pa kupumzikia, wewe na Sanduku la nguvu zako.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ee BWANA, uinuke, uende kwenye raha yako, Wewe na sanduku la nguvu zako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Inuka ee Mwenyezi-Mungu, nenda kwenye maskani yako; inuka pamoja na sanduku la agano la uwezo wako!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Inuka, Bwana, uingie penya kituo chako, wewe na Sanduku la Agano lenye nguvu zako,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ee BWANA, uinuke, uende kwenye raha yako, Wewe na sanduku la nguvu zako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Simama sasa, ee Yawe, ukuje kwenye pumziko lako, pamoja na Sanduku la Agano la uwezo wako!