Psalms 133:1 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
(Wimbo wa Kwenda Juu, wa Daudi) Ni jambo zuri na la kupendeza sana ndugu kuishi pamoja kwa umoja.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Tazama jinsi ilivyo vyema na kupendeza ndugu wanapoishi pamoja katika umoja!
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tazama, jinsi ilivyo vema, na kupendeza, Ndugu wakae pamoja, kwa umoja.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ni jambo zuri na la kupendeza sana ndugu kuishi pamoja kwa umoja.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
(Wimbo Wa Kwenda Juu. Wa Daudi) Tazama jinsi ilivyo vyema na kupendeza wakati ndugu wanapoishi pamoja katika umoja!
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Tazama jinsi ilivyo vyema na kupendeza wakati ndugu wanapoishi pamoja katika umoja!
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tazama, jinsi ilivyo vyema, na kupendeza, Ndugu kuishi pamoja, kwa umoja.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ni jambo zuri na la kupendeza sana ndugu kuishi pamoja kwa umoja.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Utazameni wema na utamu ulioko huko, ndugu wanakokaa pamoja na kupatana
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tazama, jinsi ilivyo vema, na kupendeza, Ndugu wakae pamoja, kwa umoja.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wimbo wa safari za kidini: wa Daudi. Ni jambo zuri na la kupendeza sana kwa ndugu kuishi pamoja kwa umoja.