Psalms 133:2 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ni kama mafuta mazuri yatiririkayo kichwani, mpaka kwenye ndevu zake Aroni, mpaka upindoni mwa vazi lake shingoni.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ni kama mafuta ya thamani yaliyomiminwa kichwani, yakitiririka kwenye ndevu, yakitiririka kwenye ndevu za Haruni, hadi kwenye upindo wa mavazi yake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ni kama mafuta mazuri kichwani, Yashukayo ndevuni, ndevu za Haruni, Yashukayo mpaka upindo wa mavazi yake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ni kama mafuta mazuri yatiririkayo kichwani, mpaka kwenye ndevu zake Aroni, mpaka upindoni mwa vazi lake shingoni.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ni kama mafuta ya thamani yaliyomiminwa kichwani, yakitiririka kwenye ndevu, yakitiririka kwenye ndevu za Aroni, mpaka kwenye upindo wa mavazi yake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ni kama mafuta ya thamani yaliyomiminwa kichwani, yakitiririka kwenye ndevu, yakitiririka kwenye ndevu za Haruni, mpaka kwenye upindo wa mavazi yake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ni kama mafuta mazuri kichwani, Yashukayo ndevuni, ndevu za Haruni, Yashukayo mpaka upindo wa mavazi yake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ni kama mafuta mazuri yatiririkayo kichwani, mpaka kwenye ndevu zake Aroni, mpaka upindoni mwa vazi lake shingoni.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ni kama yale mafuta mazuri ya kichwani pake Haroni, yakishuka na kuziiingia ndevu zake zilizokuwa ndefu, zikafika mpaka kwenye pindo la kanzu yake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ni kama mafuta mazuri kichwani, Yashukayo ndevuni, ndevu za Haruni, Yashukayo mpaka upindo wa mavazi yake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ni kama mafuta mazuri yanayotiririka juu ya kichwa, mpaka kwenye ndevu za Haruni, mpaka juu ya upindo wa nguo yake kwenye shingo.