Psalms 134:1 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
(Wimbo wa Kwenda Juu) Njoni kumsifu Mwenyezi-Mungu enyi watumishi wake wote, enyi nyote mnaotumikia usiku nyumbani mwake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Msifuni Mwenyezi Mungu, ninyi nyote watumishi wa Mwenyezi Mungu, ninyi mnaotumika usiku ndani ya nyumba ya Mwenyezi Mungu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tazama, enyi watumishi wa Bwana, Mhimidini Bwana, nyote pia. Ninyi mnaosimama usiku Katika nyumba ya Bwana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Njoni kumsifu Mwenyezi-Mungu enyi watumishi wake wote, enyi nyote mnaotumikia usiku nyumbani mwake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
(Wimbo Wa Kwenda Juu) Msifuni BWANA, ninyi nyote watumishi wa BWANA, ninyi mnaotumika usiku ndani ya nyumba ya BWANA.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Msifuni bwana, ninyi nyote watumishi wa bwana, ninyi mnaotumika usiku ndani ya nyumba ya bwana.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Njoni, enyi watumishi wote wa BWANA, Mhimidini BWANA Ninyi mnaohudumu usiku Katika nyumba ya BWANA.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Njoni kumsifu Mwenyezi-Mungu enyi watumishi wake wote, enyi nyote mnaotumikia usiku nyumbani mwake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mtukuzeni Bwana, nyote mlio watumishi wa Bwana, msimamao na usiku Nyumbani mwake Bwana!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tazama, enyi watumishi wa BWANA, Mhimidini BWANA, nyote pia. Ninyi mnaosimama usiku Katika nyumba ya BWANA.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wimbo wa safari za kidini. Mukuje kumusifu Yawe, enyi watumishi wake wote, enyi wote munaotumikia ndani ya nyumba yake usiku.