Psalms 134:2 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Inueni mikono kuelekea mahali patakatifu, na kumtukuza Mwenyezi-Mungu!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Inueni mikono yenu katika patakatifu na kumsifu Mwenyezi Mungu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Painulieni patakatifu mikono yenu, Na kumhimidi Bwana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Inueni mikono kuelekea mahali patakatifu, na kumtukuza Mwenyezi-Mungu!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Inueni mikono yenu katika mahali patakatifu na mumsifu BWANA.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Inueni mikono yenu katika pale patakatifu na kumsifu bwana.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Painulieni patakatifu mikono yenu, Na kumhimidi BWANA.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Inueni mikono kuelekea mahali patakatifu, na kumtukuza Mwenyezi-Mungu!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Iinueni mikono yenu hapo Patakatifu! Mtukuzeni Bwana!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Painulieni patakatifu mikono yenu, Na kumhimidi BWANA.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Muinue mikono kuelekea pahali patakatifu, na kumutukuza Yawe!