Psalms 134:3 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwenyezi-Mungu awabariki kutoka Siyoni; yeye aliyeumba mbingu na dunia.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Naye Mwenyezi Mungu, Muumba wa mbingu na dunia, awabariki kutoka Sayuni.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bwana akubariki toka Sayuni, Aliyezifanya mbingu na nchi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwenyezi-Mungu awabariki kutoka Siyoni; yeye aliyeumba mbingu na dunia.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Naye BWANA, Muumba wa mbingu na dunia, awabariki kutoka Sayuni.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Naye bwana, Muumba wa mbingu na dunia, awabariki kutoka Sayuni.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
BWANA akubariki toka Sayuni, Aliyeziumba mbingu na nchi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwenyezi-Mungu awabariki kutoka Siyoni; yeye aliyeumba mbingu na dunia.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Bwana akubariki toka Sioni, yeye aliyeziumba mbingu na nchi!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
BWANA akubariki toka Sayuni, Aliyezifanya mbingu na nchi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yawe akubariki kutoka Sayuni; yeye aliyeumba mbingu na dunia.