Psalms 135:1 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Msifuni Mwenyezi-Mungu! Lisifuni jina la Mwenyezi-Mungu, msifuni enyi watumishi wake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Msifuni Mwenyezi Mungu. Lisifuni jina la Mwenyezi Mungu, msifuni, enyi watumishi wa Mwenyezi Mungu,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Haleluya. Lisifuni jina la Bwana, Enyi watumishi wa Bwana, sifuni.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Msifuni Mwenyezi-Mungu! Lisifuni jina la Mwenyezi-Mungu, msifuni enyi watumishi wake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Msifuni BWANA. Lisifuni jina la BWANA, msifuni, enyi watumishi wa BWANA,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Msifuni bwana. Lisifuni jina la bwana, msifuni, enyi watumishi wa bwana,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Haleluya. Lisifuni jina la BWANA, Enyi watumishi wa BWANA, sifuni.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Msifuni Mwenyezi-Mungu! Lisifuni jina la Mwenyezi-Mungu, msifuni enyi watumishi wake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Haleluya! Lishangilieni Jina lake Bwana! Mlio watumishi wake Bwana, shangilieni!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Haleluya. Lisifuni jina la BWANA, Enyi watumishi wa BWANA, sifuni.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Haleluia! Musifu jina la Yawe, mumusifu, enyi watumishi wake.