Psalms 135:10 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ndiye aliyeyaangamiza mataifa mengi, akawaua wafalme wenye nguvu:
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Aliyapiga mataifa mengi, na akaua wafalme wenye nguvu:
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Aliwapiga mataifa mengi, Akawaua wafalme wenye nguvu;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ndiye aliyeyaangamiza mataifa mengi, akawaua wafalme wenye nguvu:
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Aliyapiga mataifa mengi, na akaua wafalme wenye nguvu:
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Aliyapiga mataifa mengi, na akaua wafalme wenye nguvu:
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Aliwapiga mataifa mengi, Akawaua wafalme wenye nguvu;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ndiye aliyeyaangamiza mataifa mengi, akawaua wafalme wenye nguvu:
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yeye ndiye aliyepiga wamizimu wengi, akaua nao wafalme wenye nguvu,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Aliwapiga mataifa mengi, Akawaua wafalme wenye nguvu;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Aliangamiza mataifa mengi, akawaua wafalme wenye nguvu