Psalms 135:11 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kina Sihoni mfalme wa Waamori, Ogu mfalme wa Bashani, na wafalme wote wa Kanaani.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mfalme Sihoni na Waamori, Ogu mfalme wa Bashani na wafalme wote wa Kanaani:
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Sihoni, mfalme wa Waamori, Na Ogu, mfalme wa Bashani, Na falme zote za Kanaani.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
kina Sihoni mfalme wa Waamori, Ogu mfalme wa Bashani, na wafalme wote wa Kanaani.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mfalme Sihoni na Waamori, Ogu mfalme wa Bashani na wafalme wote wa Kanaani;
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mfalme Sihoni na Waamori, Ogu mfalme wa Bashani na wafalme wote wa Kanaani:
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Sihoni, mfalme wa Waamori, Na Ogu, mfalme wa Bashani, Na falme zote za Kanaani.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kina Sihoni mfalme wa Waamori, Ogu mfalme wa Bashani, na wafalme wote wa Kanaani.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
kama Sihoni, mfalme wa Waamori, na Ogi, mfalme wa Basani, hata nchi zote za Kanaani pamoja na wafalme wao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Sihoni, mfalme wa Waamori, Na Ogu, mfalme wa Bashani, Na falme zote za Kanaani.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
kama vile Sihoni mufalme wa Waamori, Ogi mufalme wa Basani, na wafalme wote wa Kanana.